WOLPER ACHARUKA KISA MIMBA

Imelda Mtema
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper amecharuka vibaya mara baada ya kuulizwa habari za ujauzito.Juzikati mwanahabari wetu alipenyezewa ubuyu kuwa mwigizaji huyo haonekani viwanja kwa kuwa ni mjamzito ndipo mwanahabari wetu alipomvutia waya Wolper ambaye alijibu kwa hasira.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/abeA5L

No comments:

Post a Comment