DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM

diamond pic (2)

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefikisha mashabiki milioni moja katika ukurasa wake wa Instagram. diamond-newStaa huyo anayekimbiza na ngoma yake ya Nana aliyomshirikisha staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr. Flavour amekuwa Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi ya mashabiki hao. diamond pic (1)
Diamond akiwa na mwanaye Princess Tiffah.
Tovuti hii inachukua fursa hii kumpongeza Diamond a.k.a 'Baba Tiffah' kwa kufikisha idadi hiyo na kumtakia kila la kheri katika kazi zake. Mastaa wengine hapa nchini wenye mashabiki wengi Instagram ni pamoja na:
-Wema Sepetu mashabiki 859,984
-Millard Ayo 760,018
-Jokate Mwegelo 708,…

No comments:

Post a Comment