Kitendo cha mwanamuziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutupia mtandaoni video inayomuonesha mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ au Mama Tiffah akioga bafuni, kimetafsiriwa kuwa ni kumuabisha mzazi mwenziye huyo.
NI NDANI YA WHITE HOUSE
Video hiyo ya hivi karibuni, inadaiwa Diamond aliitupia kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram kisha kuitoa muda mfupi bila kujua imeshachukuliwa na wajanja.
Katika video hiyo, Zari anaonekana akiwa kwenye lile bafu lao jeupe, lililonakshiwa kwa dhahabu ndani ya mjengo wao (white house)…
No comments:
Post a Comment