Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA)

Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo kubwa za kimataifaa.    Ametangazwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA) katika kipengele cha Best African Act. Wasanii wengine wa Afrika ambao atachuana nao kwenye kipengele hicho ni AKA (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Davido (Nigeria). Hata hivyo bado anatafutwa...
Read More

No comments:

Post a Comment