DIAMOND, ZARI WFANYA BONGE LA PATI!

ZARI DIAMOND (2)
Mwandishi wetu
Mastaa wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha bonge la pati yenye kila aina ya viashiria vya ufuska, Risasi Jumamosi limeinyaka.
ZARI DIAMOND (3)Pati hiyo ya aina yake ilifanyika ndani ya mjengo wa Diamond (white house) uliopo pande za Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj (Alhamis…

No comments:

Post a Comment