Na Joseph Ngilisho Arusha
Mwanamke mmoja, Anna Livingstone Mushi (38), mkazi wa Oldadai wilayani Arumeru, ametiwa mbaroni na polisi kwa madai ya kuwapiga mijeledi ya waya wa umeme, kuwachoma na pasi mgongoni na kuwakata makalio mahausigeli wake wawili.
Anna Livingstone Mushi akiwa chini ya ulinzi.
Wasichana hao Rehema Musa (20), mkazi wa Singida na mwenzake, Jesca Mathiasi (15), mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru wakipatiwa matibabu kutokana na majeraha makubwa sehemu za mwilini…
No comments:
Post a Comment