PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA

Rais Barack Obama na familia yake wakielekea uwanjani kwenda kumlaki Papa Francis aliyewasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 nchini Marekani kwa ziara ya siku nne.
Papa Francis na ujumbe wake wakishuka kutoka kwenye ndege iliyomleta Washington, DC uwanja wa ndege wa jeshi wa AFB kwa ziara ya siku nne nchini Marekani.
Papa Francis akilakiwa na mwenyeji wake Rais Barack Obama mara tu alipokanyaga ardhi ya Marekani.
Papa Francis akisalimiana na Michelle Obama mke wa Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama
Papa Francis akipokea maua toka kwa watoto uwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment