PENZI LA LIL WAYNE, CHRISTINA LAVUNJIKA NUSU

Rapa Lil Wayne akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Christina Milian.
New York, Marekani
SIKU chache baada ya kutangaza kuvunja uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa mwaka mmoja, imebainika kuwa rapa Lil Wayne na Christina Milian hawajatengana katika masuala ya kikazi.
Taarifa kutoka kwa watu wa karibu wa wasanii hao, zimeeleza kuwa uhusiano huo ulivunjika wiki iliyopita lakini bado Christina ataendelea kuwa memba wa lebo ya…

No comments:

Post a Comment