TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI

Mwandishi Wetu

MVUTANO! Ndivyo unavyoweza kusema baada mastaa wapendanao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kujikuta wakipishana kauli kutokana na mvutano wa kibiashara unaohusu Sherehe ya Arobaini ya mtoto wao mchanga, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ ambaye amedhaminiwa Sh. Mil. 40 na makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na bidhaa za watoto, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.
Mtoto wa Diamond na Zari, Latiffah Nasibu ‘Tiffah'.
TUJIUNGE NA…

No comments:

Post a Comment