WAHADHIRI takriban 800 waliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameazimia kutoingia madarasani kufundisha kuanzia Novemba 2 mwaka huu mpaka hapo serikali itakaposhughulikia suala la muundo mpya wa mishahara. Kauli hiyo ilitolewa jana na Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanataaluma wa UDOM (Udomasa), Gerald Shija alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya mkutano mkuu wa...
No comments:
Post a Comment