WAHINDU WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA MUNGU WAO MDOGO MWENYE DARAJA KUBWA WAMUWEKA BAHARINI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mungu huyo wa mdogo wa kiume mwenye daraja kubwa anayejulikana kwa zaidi ya majina 125 (Ganpati Bappa Morya)  mwenye sura ya tembo akiwa amewekwa juu ya gari maalumu wakipita mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam jana mchana akipelekwa Baharini ili kuungana na mungu wa kike waliopo kwenye mito mitatu mikubwa mitakatifu iliyopo nchini India.
 Mungu huyo akiwa amewekwa juu ya paa la gari akiwa katika uangalizi wa heshima.

No comments:

Post a Comment