JOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA

Na Hamida Hassan

MWANADADA ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amemwaga chozi baada ya kupata taarifa za kukosa ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa aliyekuwa Meya wa Ilala, Jerry Silaa na kusema ameumia kuliko maelezo.
Mwanadada ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.
Akizungumza na Ijumaa juzi, Jokate ambaye ni mtu wa karibu sana na mheshimiwa huyo alisema, hakutarajia kabisa kupata…

No comments:

Post a Comment