Kijana Aliyesambaza Taarifa za Uongo Kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Davis Mwamunyange Amelishwa Sumu Afikishwa Mahakamani

Serikali jana ilimfikisha mahakamani bwana Bernedict Angelo Ngonyani kwa tuhuma za kutumia mtandao wa Facebook na WhatsApp kueneza taarifa za uongo kuwa mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange amelazwa Nairobi kwa madai ya kulishwa chakula chenye sumu. Akizungumza kwenye eneo la mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam ambako mtuhumiwa huyo alifikishwa kwa ajili ya kusomewa mashitaka,...
Read More

No comments:

Post a Comment