Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame. Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa uzalishaji wa umeme wa maji kwenye mabwawa hayo umeshuka hadi kufikia megawati 105 kutoka 561 kutokana na ukame unaoendelea majira...
No comments:
Post a Comment