Mwanamke mmoja mtu mzima, ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa akiwa ndani ya nyumba ya mtu pasipo kueleweka namna alivyoingia, kwani milango yote ilikuwa imefungwa kwa ndani. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni majira saa 2 asubuhi maeneo ya Majengo, wilayani Misungwi, mkoani Mwanza na kujaza watu wengi. Shuhuda wa tukio hilo amesema kuwa walisikia kelele...
No comments:
Post a Comment