:Jaji Mkuu wa Mashindano ya Bongo Star Search ‘BSS’, Ritha Poulsen ‘Madam Ritha’, akielezea mipango ya fainali ya mashindano hayo itakavyokuwa siku ya Ijumaa Oktoba 9 mwaka huu katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo eneo la Namanga Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki wa shindano hilo, Nassib Fonabo, akiimba kwenye kikao hicho.…
No comments:
Post a Comment