WASANII WANAOMILIKI MIJENGO BONGO

Juma Khalid Jux.
BOSI wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella, amekuwa akiwasisitiza zaidi wasanii wake kuwa wanapopata fedha kidogo tu basi wanatakiwa kuhakikisha wanaanza kuutengeneza mwamvuli (nyumba) kwani ndicho kitu muhimu katika maisha ya binadamu.
Elizabeth Michael Lulu.
Na imekuwa ikitokea mara nyingi baadhi ya wasanii ambao wanashika fedha nyingi kwa mara ya kwanza kujisahau sana na kujikuta wakizitumia fedha zao…

No comments:

Post a Comment