DKT REGINALD MENGI KUISADIA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akisalimiana na Askofu mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi wa hosptali ya rufaa ya KCMC .(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali hiyo,Dkt Gileard Masenga.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo .
No comments:
Post a Comment