KHLOE AMUACHA LAMAR, AREJEA KWA MPENZI WAKE

Khloe Kardashian akiwa na mpenzi wake wa sasa, James Harden.
Khloe akiongozana na James Harden mwezi Septemba.
Los Angeles, Marekani

UBUYU mpya umepenyezwa kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian, wiki iliyopita aliamua kumtelekeza aliyekuwa mumewe, Lamar Odom na kwenda kuhudhuria mechi ya NBA ambapo timu ya mpenzi…

No comments:

Post a Comment