Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda nchini Marekani. Hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Pichani katikati ni Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde, akifatiwa na Mwalimu wa sauti Tony Joet.
MSHINDI wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, Nalimi Mayunga…
No comments:
Post a Comment