Mwimbaji wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara maarufu Bongo, Emmanuel Mbasha
Gladness Mallya
MWIMBAJI wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara maarufu Bongo, Emmanuel Mbasha amepotezea kuzungumzia suala la kumpa talaka mkewe kwa madai kwamba yupo bize na suala la sherehe za ushindi wa rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli.
Mbasha aliitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati mwanahabari wetu alipomuuliza mwimbaji huyo kuhusu hatma ya kutoa talaka ambayo aliyekuwa mkewe, mwimbaji Flora Mbasha amekuwa akiidai hadi kumfikisha mahakamani.…
No comments:
Post a Comment