MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI‏

Nalimi Mayunga akiimba katika michuano ya Airtel Trace Music Stars Afrika
Mshindi wa shindano la musiki la Airtel Trace Music Stars Afrika , Nalimi Mayunga anatarajiwa kuondoka nchini jumatatu ya tarehe 16 novemba kwenda Marekani kwaajili ya mafunzo na kurekodi single yake na mwanamuziki Nguli Akon.Malimi Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika aliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata mafunzo ya mzuki kutoka kwa…

No comments:

Post a Comment