WEMA AMTUSI DIAMOND
Posted by GLOBAL on November 4, 2015 at 11:39am0 Comments 0 Likes
WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ ameangusha bethidei baab’kubwa ambayo imesheheni kufuru ya aina yake na ‘kumtusi’ hadharani mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumsema kuwa ni mtu wa kununua magari ya bei rahisi hivyo hawezi kuifikia hadhi yake, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili.
ILISOGEZWA MBELE MAKUSUDI
Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ifanyike Septemba 28, mwaka huu ambayo ndiyo siku ya kuzaliwa Madam, ilisogezwa mbele makusudi kutokana na ubize aliokuwa nao wa kukifanyia…
No comments:
Post a Comment