YALIYOMO KWENYE GAZETI LA RISASI JUMATANO

Mbasha1

Kisa kumchafulia jina mjini... Gwajima, Flora kumlipa mamilioni Mbasha!
-Mwanasheria afunguka, aeleza mlolongo mzima
-Ishu imewakalia vibaya
JB alishwa sumu!
-Unataka kufahamu tukio hilo lilivyomkuta JB?
-Nini kimeendelea?
Licha ya Kudai Hajazaa... Sajent Aumbuka
-Anaswa live na mtoto
-Abanwa, abaki kaduwaa
-Mzazi mwenziye aingia mitini.
Kupata undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma Gazeti la Risasi Jumatano.

No comments:

Post a Comment