Diamond afunika Kampala, Uganda jana

2Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katuka Uwanja wa Lugogo Cricket Oval, Kampala, Uganda.
4
Diamond akiimba kwa hisia.5
Madansa wa Diamond wakiendelea na makamuzi.

No comments:

Post a Comment