Dkt. Kingwangalla atumbua MAJIPU ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika ofisi za wizara hiyo kwa kusimama getini kuzuia wafanya kazi wote wa wizara ambao walikuwa wamefika ofisini baada ya saa 1:30 asubuhi  muda ambao ndiyo mwisho wa wafanyakazi kuingia ofisini.  ...

No comments:

Post a Comment