UPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi ulioisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 12.7 inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Tiagi Masamaki na wenzake, haujakamilika. Wakili wa Serikali, Diana Lukondo alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati kesi hiyo ilipotajwa. Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Huruma Shaidi aliahirisha kesi...
No comments:
Post a Comment