Mtu mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao wa Face book. Mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Carolne Kajela, alikamatwa jioni ya desemba 12, mwaka huu eneo la Uyole Jijini hapa, baada ya kuandika katika ukurasa wake wa Facebook kupitia kundi la Kwinyara Let’s talk kuwa, mmiliki wa mabasi ya Rungwe Express anaingiza mabasi hayo kupitia...

No comments:
Post a Comment