MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Akaidi Agizo la Rais Magufuli Aenda Nairobi, Kenya Kwa Fedha za Serikali Bila Kibali Cha Ikulu


MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad, amekiuka agizo la Rais Dk. John Magufuli, baada kusafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu.

Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, CAG aliondoka nchini Jumamosi (Desemba 12, 2015) kwenda jijini Nairobi, Kenya na kurejea nchini Jumanne wiki hii.

No comments:

Post a Comment