MRI YA KUTOZIDISHA ABIRIA KWENYE MABASI YA DALADALA BADO HAIJASHIKA KASI

Jeshi la Polisi nchini hivi karibuni lilitangaza na kuwatahadharisha madereva kuhusu kuzidisha idadi ya abiria kuliko uwezo wa chombo cha usafari kwa kuwa kufanya hivyo  ni kosa kisheria. Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na mtandao huu  kwa siku mbili kuangalia kama agizo hilo linatekelezwa na madereva pamoja na kuona kama hatua zinachukuliwa kwa wale wote […]

No comments:

Post a Comment