Good News ikufikie popote pale ulipo, Leo Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika Afrika na dunia kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu Omary Clayton kuibuka na ushindi mnono katika shindano la Tuzo za California Viewers choice Award za nchini Marekani akiwa kama muigizaji bora wa kiume kutokea Afrika.
No comments:
Post a Comment