ABIRIA zaidi ya 1000 waliyokuwa wakisafiri na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), jana wamekwama mkoani Dodoma na kushindwa kuendelea na safari kutokana kuanguka treni ya mizigo kati ya Kituo cha Itigi na Kitakaa. Tukio la kukwama abiria hao limetokea juzi saa 2:00 asubuhi mjini hapa mara baada treni hiyo ya abiria ilivyo kuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Tabora, Kigoma na Mwanza...

No comments:
Post a Comment