Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja. Watuhumiwa kutoka Tanesco Isaack Tibita na Olver Mushumbusi kwa nyakati tofauti walikuwa mameneja Wilayani Karagwe wanadaiwa kushirikiana na wafanyakazi wa kampuni ya...

No comments:
Post a Comment