Waziri Kitwanga Aanza Ziara Zake Kwa Kutembelea Jeshi La Polisi......Awapa Polisi Siku MOJA Ya Kujieleza ni Kwa nini Hawalindi Bandari Ya Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga ametoa siku moja kwa Jeshi la Polisi kueleza ni kwa nini askari hawalindi Bandari ya Dar es Salaam badala yake kazi hiyo inafanywa na kampuni binafsi za ulinzi. Kitwanga amepanga kukutana na viongozi waandamizi wa Polisi kesho ili kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuongeza ufanisi wa kazi ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza na maofisa...
Read More

No comments:

Post a Comment