Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kulinda amani ya nchi huku akikemea uvaaji wa nguo fupi na kuwasihi Watanzania kujenga tabia ya kuvaa mavazi yenye kumpendeza Mungu. Pia, amekemea matumizi ya dawa za kulevya na mimba za utotoni akisema ni mambo ambayo yanaepukika kwa mtu yeyote aliyelelewa katika misingi ya kidini. Waziri Majaliwa alisema hayo...

No comments:
Post a Comment