WAZIRI wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk.Diwani Msemo ili kupisha uchunguzi pamoja na mambo mengine ili kubaini mgongano wa kimaslahi ulioathiri utendaji wa taasisi hiyo chini ya kaimu mkurugenzi huyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...

No comments:
Post a Comment