Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo Aagiza Wala Rushwa Wakamatwe

WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa mkoa wa Kagera,Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) na vyombo vya dola, kuwashughulikia wala rushwa katika mradi ya umeme vijijini. Amezitaka taasisi hizo na uongozi huo, kuchunguza na kuwabaini wanaojihusisha na vitendo hivyo katika mradi huo, unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA), ili wawachukulie...
Read More

No comments:

Post a Comment