Zari ‘All White Ciroc Party’ yafunika Kampala

12354028_634235383383477_2132529986_nMpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa katika gari kuelekea katika usiku shoo yake ya  All White Ciroc Party iliyofanyika jana usiku kwenye club Guvnor jijin Kampala.
ZARI345Zari akipanda gari.
ZARI734ZARI834
Zari akiwa katika picha ya pamoja na mashabiki zake.
ZARI0923
Wakiendelea kujiachia.
ZARI234Wakiwa katika ubora wao.

No comments:

Post a Comment