Amiri Jeshi Mkuu Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wapya 205 Wa Jeshi La Wananchi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Januari, 2016 ametunuku kamisheni kwa Maafisa wapya 205 wa jeshi la wananchi kundi la 57/15 katika Chuo cha mafunzo ya kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha....
Read More

No comments:

Post a Comment