Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam....Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi

Jeshi la Polisi Jumatatu hii limezima ghasia za wananchi wenye hasira maeneo ya Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es Salaam baada ya kupinga zoezi la bomoa bomoa kwa mara ya pili kufuatia kukataa kuondoka katika eneo hilo kwa madai hawana pa kwenda.Akizungumza na mtandao huu Jumatatu hii mmoja kati ya waathirika wa bomoa bomoa hiyo, Bi Fatuma Said, amesema wanashindwa kuondoka katika eneo hilo kwa...
Read More

No comments:

Post a Comment