Elimu Bure Tanzania Inaanza Leo Kwa Shule Za Serikali......Kuhusu Shule Binafsi Serikali Imeamua Kujipa Muda wa Kutathmini Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akisema fedha zimeshafika kwa kila shule. Aidha, Prof. Ndalichako amewataka wamiliki wa shule binafsi kujitathmini. Itakumbukwa kuwa serikali ilipoanzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekonari mwaka 2000, lengo lilikuwa... Read More

Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akisema fedha zimeshafika kwa kila shule. Aidha, Prof. Ndalichako amewataka wamiliki wa shule binafsi kujitathmini. Itakumbukwa kuwa serikali ilipoanzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekonari mwaka 2000, lengo lilikuwa...
Read More

No comments:

Post a Comment