Aliyekuwa mgombea Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawa baada ya kusimama na kuwasalimia. Lowassa alikuwa safarini kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA. ...
No comments:
Post a Comment