Madereva wa Mabasi Ya 'Mwendo Kasi' wapanga kuigomea serikali

Madereva wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam wamesema watagoma kuendesha magari hayo kufuatia uongozi wa mabasi hayo kuwapa mkataba wa kazi usiokidhi mahitaji. Baadhi ya mahitaji hayo ni mshahara mdogo wa shilingi laki 4 kwa mwezi tofauti na makubaliano ya awali ya shilingi laki 8. Wakiongea na Eatv leo, madereva hao wamesema pia wameshangazwa na kitendo cha uongozi wa mabasi...
Read More

No comments:

Post a Comment