MAGARI YA KIBINAFSI KUZUIWA KUINGIA DELHI

LEAVE A 

Wasimamizi wa mji mkuu wa India, Delhi wameanza kuzuia baadhi ya magari ya kibinafsi kuingia mjini ili kupunguza uchafuzi wa hewa. Magari ya kibinafsi yenye nambari za usajili zinayogawika na mbili bila masalio (namba shufwa) na yale yenye nambari zisizogawika na mbili (namba witiri) zitakuwa zikiruhusiwa mjini siku tofauti. Mpango huo  majaribio kwa kipindi […]


No comments:

Post a Comment