Magufuli Si Mchezo: Jana Aliwambia Makatibu Wakuu Asiyetaka Kusaini Kiapo Cha Uadilifu Aseme Ili Amfute Kazi Hapo Hapo

Halfa ya kuapishwa kwa makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu 26 iliyofanyika jana Ikulu Jijini Dar es Salaam ilikuwa ya aina yake kutokana na kuapa mara mbili, huku Rais John Magufuli akiwaeleza kuwa asiyeweza kazi  aseme asile kiapo, akae kando. “Inawezekana tulizungumza kwa ujumla lakini kumbe si wote wanakubali masharti kuhusu rushwa, kutoa vitu vya upendeleo. Kwa hiyo, niwaombe...
Read More

No comments:

Post a Comment