Msako Wahamiaji Haramu Wanaofanya kazi Nchini bila Kufuata sheria za Nchi Kuhamia kwa Mahausigeli

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema operesheni kwa lengo la kuwachukulia hatua raia wa nje wanaofanya kazi nchini bila kufuata sheria za nchi, ni endelevu na itagusa maeneo yote ikiwemo wafanyakazi wa majumbani. Msemaji wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, jana alisema hawakukurupuka kuendesha operesheni hiyo, bali hakuna mgeni anayeruhusiwa kufanya kazi nchini bila vibali. Tamko...
Read More

No comments:

Post a Comment