Msimamizi Wa BomoaBomoa Dar Aanguka Ghafla Ofisini Kwake.... Madaktari Washindwa Kubaini Tatizo

Operesheni kubwa ya kubomoa nyumba zaidi ya 15,000 zilizojengwa katika maeneo yasiyostahili jijini Dar es Salaam, imekumbana na changamoto ya aina yake baada ya mmoja wa wasimamizi wa kazi hiyo kutoka Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (Nemc), Heche Suguti, kuanguka ghafla akiwa ofisini kwake na kuwahishwa hospitali akiwa hoi. Chanzo  kutoka ndani ya Nemc kimesema kuwa...
Read More

No comments:

Post a Comment