Mtu Mmoja Afariki Dunia na Wengine 4 Wamejeruhiwa katika ajali ya basi La Mohammed Trans Iliyotokea Mlima Sekenke Singida

BASI la kampuni ya Mohammed Trans aina ya scania T.858.AWY lililokuwa likitokea jijini Mwanza likielekea jijini Dar-es-salaam,juzi lilipata ajali na kusababisha kifo cha utingo wake na kujeruhi vibaya abiria wanne. Utingo huyo aliyefia hospitali ya wilaya ya Iramba akipatiwa matibabu,ni Abdallah Athuman (35) mkazi wa Shinyanga mjini. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana,...
Read More

No comments:

Post a Comment