Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Mussa Msafiri (23), alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jana akituhumiwa kumwingizia vidole sehemu za siri mtoto mwenye umri wa miaka minne. Mbele ya Hakimu Issa Kasailo, Wakili wa Serikali, Matarasa Maharagande, alidai mtuhumiwa alitenda kosa hilo Januari 7 mwaka huu maeneo...
No comments:
Post a Comment