PONGEZI ZA KIPEKEE KWA VIONGOZI WOTE


Na K. Matemu PONGEZI ZA KIPEKEE KWA VIONGOZI WOTE waliohusika hili. kwa kweli anastahili sifa sana, Trafic wanatoza Dereva mwenye kosa na kulipisha kwa mashine ya POS, na risit unapewa. huna pesa unapewa siku saba na unaweza kulipia tigo/voda/airtel pesa, hawarusu kuchukua kitu chochote ni namba za gari.

No comments:

Post a Comment